Makamu wa Pili wa Rais Mh. Hemed ameiagiza Kampuni ya Runs kuendelea na ujenzi wa Hospital ya Chake Chake ndani ya saa 24 (+Video)

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman amemaliza ziara ya siku Tano Kisiwani Pemba na kuiagiza Kampuni ya Runs kuendelea na ujenzi wa Mradi wa Hospital ya Chake Chake ndani ya saa 24.